Methali 23:9
Methali 23:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiseme maneno yako mbele ya mpumbavu, maana atapuuza hekima ya maneno yako.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiseme masikioni mwa mpumbavu; Maana atadharau hekima ya maneno yako.
Shirikisha
Soma Methali 23