Methali 23:5
Methali 23:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, huwa kama umepata mabawa ghafla, ukaruka na kutowekea angani kama tai.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Utavikazia macho vile ambavyo si kitu? Maana bila shaka mali hujifanyia mabawa, Kama tai arukaye mbinguni.
Shirikisha
Soma Methali 23