Methali 23:4-5
Methali 23:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Ikiwa unayo hekima ya kutosha, usijitaabishe kutafuta utajiri. Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, huwa kama umepata mabawa ghafla, ukaruka na kutowekea angani kama tai.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usijitaabishe ili kupata utajiri; Acha kuzitegemea akili zako mwenyewe. Je! Utavikazia macho vile ambavyo si kitu? Maana bila shaka mali hujifanyia mabawa, Kama tai arukaye mbinguni.
Shirikisha
Soma Methali 23