Methali 23:22-23
Methali 23:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Msikilize baba yako aliyekuzaa, wala usimdharau mama yako akizeeka. Nunua ukweli, wala usiuuze; nunua hekima, mafunzo na busara.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msikilize baba yako aliyekuzaa, Wala usimdharau mama yako akiwa mzee. Inunue kweli, wala usiiuze; Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu.
Shirikisha
Soma Methali 23