Methali 23:20-21
Methali 23:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiwe mmoja wa walevi wa divai, wala walafi wenye kupenda nyama, maana walevi na walafi wataishia kuwa maskini, anayetumia siku yake kusinzia atavaa matambara.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo; Miongoni mwao walao nyama kwa pupa. Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.
Shirikisha
Soma Methali 23