Methali 23:17-18
Methali 23:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Moyo wako usiwaonee wivu wenye dhambi, ila endelea kumcha Mwenyezi-Mungu siku zote. Hakika kuna kesho ya milele, na tumaini lako halitakuwa bure.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo wako usiwahusudu wenye dhambi; Bali mche BWANA mchana kutwa; Maana bila shaka iko thawabu; Na tumaini lako halitabatilika.
Shirikisha
Soma Methali 23