Methali 23:15-16
Methali 23:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, moyo wako ukiwa wenye busara, moyo wangu pia utakuwa wenye furaha. Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, kama moyo wako una hekima, Moyo wangu utafurahi, naam, moyo wangu; Naam, viuno vyangu vitafurahi, Midomo yako inenapo maneno mema.
Shirikisha
Soma Methali 23