Methali 23:13-14
Methali 23:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiache kumrudi mtoto; ukimchapa kiboko hatakufa. Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa. Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu.
Shirikisha
Soma Methali 23