Methali 23:10-11
Methali 23:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiondoe alama ya mpaka wa zamani, wala usiingilie mashamba ya yatima, maana Mungu, Mkombozi, ni mwenye nguvu, naye ataitetea haki yao dhidi yako.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani; Wala usiingie katika mashamba ya yatima; Kwa sababu mkombozi wao ana nguvu; Atawatetea juu yako.
Shirikisha
Soma Methali 23