Methali 22:9
Methali 22:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwenye jicho la ukarimu atabarikiwa; Maana huwapa maskini chakula chake.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mkarimu atabarikiwa, maana chakula chake humgawia maskini.
Shirikisha
Soma Methali 22