Methali 22:5-6
Methali 22:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Njia ya waovu imejaa miiba na mitego; anayetaka kuhifadhi maisha yake ataiepa. Mfunze mtoto namna ya kuishi vizuri, naye hatasahau njia hiyo hata uzeeni.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Miiba na mitego huwa katika njia ya mshupavu; Yeye aitunzaye nafsi yake atakuwa mbali nayo. Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Miiba na mitego huwa katika njia ya mshupavu; Yeye aitunzaye nafsi yake atakuwa mbali nayo. Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Shirikisha
Soma Methali 22