Methali 22:5
Methali 22:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Njia ya waovu imejaa miiba na mitego; anayetaka kuhifadhi maisha yake ataiepa.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Miiba na mitego huwa katika njia ya mshupavu; Yeye aitunzaye nafsi yake atakuwa mbali nayo.
Shirikisha
Soma Methali 22