Methali 22:26-27
Methali 22:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu; Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolee kitanda chako chini yako?
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni. Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa!
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu; Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolee kitanda chako chini yako?
Shirikisha
Soma Methali 22