Methali 22:24-25
Methali 22:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Usifanye urafiki na mtu wa hasira, wala usiandamane na mwenye ghadhabu, usije ukajifunza mwenendo wake, ukajinasa kabisa katika mtego.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira nyingi; Wala usiende na mtu wa ghadhabu nyingi; Usije ukajifunza njia zake; Na kujipatia nafsi yako mtego.
Shirikisha
Soma Methali 22