Methali 22:2-4
Methali 22:2-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote. Mtu mwangalifu huona hatari akajificha, lakini wajinga hujitokeza mbele wakaumia. Ukinyenyekea na kumcha Mwenyezi-Mungu, utapata tuzo: Fanaka, heshima na uhai.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:2-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili. Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:2-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili. Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima.
Shirikisha
Soma Methali 22