Methali 22:17-18
Methali 22:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Tega sikio usikie maneno ya wenye hekima, elekeza moyo wako uzingatie maarifa yangu. Wewe utafurahi endapo utayaweka moyoni, na kuyakariri kila wakati.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu; maana ni vizuri kuyahifadhi ndani yako, hali yakithibitika pamoja midomoni mwako.
Shirikisha
Soma Methali 22