Methali 22:1-2
Methali 22:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Afadhali kuwa na sifa nzuri kuliko mali nyingi; wema ni bora kuliko fedha au dhahabu. Matajiri na maskini wana hali hii moja: Mwenyezi-Mungu ni Muumba wao wote.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; Na neema kuliko fedha na dhahabu. Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili.
Shirikisha
Soma Methali 22