Methali 21:8
Methali 21:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Njia ya mtu mwenye hatia imepotoka, lakini mwenendo wa mnyofu umenyooka.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Njia yake aliyelemewa na dhambi imepotoka sana; Bali mtu aliye safi, kazi yake ni sawasawa.
Shirikisha
Soma Methali 21