Methali 21:5
Methali 21:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mipango ya mtu wa bidii huleta mali kwa wingi, lakini kila aliye na pupa huishia patupu.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mawazo ya wenye bidii huuelekea utajiri tu; Bali kila mwenye pupa huuelekea uhitaji.
Shirikisha
Soma Methali 21