Methali 21:4
Methali 21:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Macho ya kiburi na moyo wa majivuno huonesha wazi dhambi ya waovu.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye kiburi na moyo wa majivuno, Taa yake ni dhambi.
Shirikisha
Soma Methali 21