Methali 21:26
Methali 21:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Mchana kutwa mwovu hutamani kupata kitu, lakini mwadilifu hutoa, tena kwa ukarimu.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi.
Shirikisha
Soma Methali 21