Methali 21:2-3
Methali 21:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Matendo yote ya mtu ni sawa machoni pake, lakini Mwenyezi-Mungu hupima mioyo. Kutenda mambo mema na ya haki, humpendeza Mwenyezi-Mungu kuliko tambiko.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo. Kutenda haki na hukumu Humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo. Kutenda haki na hukumu Humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka.
Shirikisha
Soma Methali 21