Methali 20:4
Methali 20:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mvivu halimi wakati wa kulima; wakati wa mavuno atatafuta asipate chochote.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mvivu hataki kulima wakati wa baridi; Hivyo wakati wa mavuno ataomba, hana kitu.
Shirikisha
Soma Methali 20