Methali 20:23
Methali 20:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa BWANA; Tena mizani ya hila si njema.
Shirikisha
Soma Methali 20