Methali 20:20
Methali 20:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayemlaani baba yake au mama yake, mwanga wa uhai wake utazimwa kama taa gizani.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amlaaniye babaye au mamaye, Taa yake itazimika katika giza kuu.
Shirikisha
Soma Methali 20