Methali 20:14
Methali 20:14 Biblia Habari Njema (BHN)
“Hakifai, hakifai”, mnunuzi hulalamika, lakini akiondoka hujisifu amepunguziwa bei.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haifai kitu, haifai kitu, asema mnunuzi; Lakini akiisha kwenda zake hujisifu.
Shirikisha
Soma Methali 20