Rukia hadi maudhui

Methali 2:9 - Linganisha Matoleo Yote

Methali 2:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Ukinisikiliza utafahamu uadilifu na haki, utajua jambo lililo sawa na jema.

Methali 2 BHN

Methali 2:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndipo utakapofahamu haki na hukumu, Na adili, na kila njia njema.

Methali 2 SUV

Methali 2:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndipo utakapofahamu haki na hukumu, Na adili, na kila njia njema.

Methali 2 SRUV

Methali 2:9 NEN (Neno)

Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki, na sawa: yaani kila njia nzuri.

Methali 2 NEN