Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Methali 2:2 - Linganisha Matoleo Yote

Methali 2:2 BHN (Biblia Habari Njema)

ukitega sikio lako kusikiliza hekima, na kuuelekeza moyo wako upate ufahamu

Shirikisha
Methali 2 BHN

Methali 2:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata ukatega sikio lako kusikia hekima, Ukauelekeza moyo wako upate kufahamu

Shirikisha
Methali 2 SUV

Methali 2:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hata ukatega sikio lako kusikia hekima, Ukauelekeza moyo wako upate kufahamu

Shirikisha
Methali 2 SRUV

Methali 2:2 NEN (Neno)

kutega sikio lako kwenye hekima na kuweka moyo wako katika ufahamu

Shirikisha
Methali 2 NEN