Methali 19:3
Methali 19:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu akijiangamiza kwa upumbavu wake, huielekeza hasira yake dhidi ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake; Na moyo wake hununa juu ya BWANA.
Shirikisha
Soma Methali 19