Methali 19:2-3
Methali 19:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Haifai mtu kuwa bila akili; mwenda harakaharaka hujikwaa. Mtu akijiangamiza kwa upumbavu wake, huielekeza hasira yake dhidi ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena si vizuri nafsi ya mtu ikose maarifa; Naye afanyaye haraka kwa miguu hutenda dhambi. Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake; Na moyo wake hununa juu ya BWANA.
Shirikisha
Soma Methali 19