Methali 19:17
Methali 19:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayemsaidia maskini anamkopesha Mwenyezi-Mungu; Mwenyezi-Mungu atamlipa kwa tendo lake jema.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amhurumiaye maskini humkopesha BWANA; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Amhurumiaye maskini humkopesha BWANA; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.
Shirikisha
Soma Methali 19