Methali 18:5-6
Methali 18:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Si vizuri kumpendelea mtu mwovu, na kumnyima haki mtu mwadilifu. Maneno ya mpumbavu huleta ugomvi; kila anachosema husababisha adhabu.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kukubali uso wake asiye haki si vizuri; Wala kumpotosha mwenye haki hukumuni. Midomo ya mpumbavu huingia katika fitina, Na kinywa chake huita mapigo.
Shirikisha
Soma Methali 18