Methali 18:19 - Compare All Versions
Methali 18:19 BHN (Biblia Habari Njema)
Ndugu aliyeudhiwa ni mgumu kuliko mji wa ngome; magomvi hubana kama makufuli ya ngome.
Shirikisha
Methali 18 BHNMethali 18:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuliko mji wa nguvu; Na mashindano ni kama mapingo ya ngome.
Shirikisha
Methali 18 SUVMethali 18:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuliko mji wa nguvu; Na mashindano ni kama mapingo ya ngome.
Shirikisha
Methali 18 SRUVMethali 18:19 NEN (Neno)
Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuridhika kuliko mji uliozungushiwa ngome, nayo mabishano ni kama malango ya ngome yenye makomeo.
Shirikisha
Methali 18 NEN