Methali 18:15-16
Methali 18:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mwenye akili hujipatia maarifa, sikio la mwenye busara hutafuta maarifa. Zawadi humfungulia mtu milango; huweza kumfikisha mtu mbele ya mkuu.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo wa mwenye busara hupata maarifa; Na sikio la mwenye hekima hutafuta maarifa. Zawadi ya mtu humpatia nafasi; Humleta mbele ya watu wakuu.
Shirikisha
Soma Methali 18