Methali 18:14
Methali 18:14 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili?
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Roho ya mtu huweza kustahimili ugonjwa, lakini ukiwa umevunjika moyo, utastahimilije?
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Roho ya mtu itastahimili udhaifu wake; Bali roho iliyovunjika nani awezaye kuistahimili?
Shirikisha
Soma Methali 18