Methali 18:11-12
Methali 18:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini tajiri hudhani mali ni ngome yake; anafikiri hayo ni ukuta mrefu unaomlinda. Majivuno ya moyoni huleta maangamizi, lakini unyenyekevu huleta heshima.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mali ya mtu tajiri ni mji wake wa nguvu; Ni kama ukuta mrefu katika mawazo yake. Kabla ya uharibifu moyo wa mwanadamu hujivuna; Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu.
Shirikisha
Soma Methali 18