Methali 18:1-2
Methali 18:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayetafuta yake tu hujitenga na wenzake; hukasirika akipewa shauri lolote jema. Mpumbavu hapendezwi na busara; kwake cha maana ni maoni yake tu.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake mwenyewe; Hushindana na kila shauri jema. Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake mwenyewe; Hushindana na kila shauri jema. Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu.
Shirikisha
Soma Methali 18