Methali 17:7
Methali 17:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno mazuri si kawaida kinywani mwa mpumbavu, sembuse maneno ya uongo kinywani mwa kiongozi!
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno mazuri hayapendezi kinywani mwa mpumbavu; Sembuse midomo ya uongo kinywani mwa mkuu.
Shirikisha
Soma Methali 17