Methali 15:8
Methali 15:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Sadaka ya waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini sala ya wanyofu humfurahisha Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.
Shirikisha
Soma Methali 15