Methali 15:7
Methali 15:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mdomo wa mwenye hekima hueneza maarifa, lakini sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Midomo ya mwenye haki hueneza maarifa; Bali moyo wa mpumbavu haufanyi hivyo.
Shirikisha
Soma Methali 15