Methali 15:5
Methali 15:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpumbavu hudharau mafundisho ya baba yake, lakini anayekubali maonyo ana busara.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mpumbavu hudharau kurudiwa na babaye; Bali yeye aangaliaye maonyo hupata busara.
Shirikisha
Soma Methali 15