Methali 15:2
Methali 15:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ulimi wa mwenye hekima hueneza maarifa, lakini watu wapumbavu hububujika upuuzi.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.
Shirikisha
Soma Methali 15