Methali 15:14
Methali 15:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye busara hutafuta maarifa, lakini wapumbavu hujilisha upuuzi.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa; Bali kinywa cha wapumbavu hula upumbavu.
Shirikisha
Soma Methali 15