Methali 15:10
Methali 15:10 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; yeye achukiaye maonyo atakufa.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Adhabu kali ipo kwa wanaoacha mwenendo mwema; yeyote achukiaye kuonywa atakufa.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Adhabu kali ina yeye aiachaye njia; Naye achukiaye kukemewa atakufa.
Shirikisha
Soma Methali 15