Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 14:7 - Compare All Versions

Methali 14:7 BHN (Biblia Habari Njema)

Ondoka mahali alipo mpumbavu, maana hapo alipo hamna maneno ya hekima.

Shirikisha
Methali 14 BHN

Methali 14:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Toka mbele ya uso wa mpumbavu, Maana hutaona kwake midomo ya maarifa.

Shirikisha
Methali 14 SRUV

Methali 14:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Toka mbele ya uso wa mpumbavu, Maana hutaona kwake midomo ya maarifa.

Shirikisha
Methali 14 SUV

Methali 14:7 NEN (Neno)

Kaa mbali na mtu mpumbavu, kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake.

Shirikisha
Methali 14 NEN