Methali 14:5
Methali 14:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Shahidi mwaminifu hasemi uongo, lakini asiyeaminika hububujika uongo.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Shahidi mwaminifu hatasema uongo; Bali shahidi wa uongo, pumzi zake ni uongo.
Shirikisha
Soma Methali 14