Methali 14:26-27
Methali 14:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Amchaye Mwenyezi-Mungu ana tumaini imara, na watoto wake watapata kimbilio salama. Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kumcha BWANA ni tumaini imara; Watoto wake watakuwa na kimbilio. Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.
Shirikisha
Soma Methali 14