Methali 14:24-25
Methali 14:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu. Shahidi wa kweli huokoa maisha, lakini msema uongo ni msaliti.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Taji la wenye hekima ni mali zao; Bali upumbavu wa wajinga ni upumbavu tu. Shahidi wa kweli huponya nafsi za watu; Bali atoaye uongo hudanganya.
Shirikisha
Soma Methali 14