Methali 14:2
Methali 14:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau.
Shirikisha
Soma Methali 14