Methali 14:16
Methali 14:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye hekima ni mwangalifu na huepa uovu, lakini mpumbavu hajizuii wala hana uangalifu.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye hekima huhadhari, na kujitenga na uovu; Bali mpumbavu hupuuza yote, na hajali.
Shirikisha
Soma Methali 14